• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mazungumzo kuhusu rais wa awamu mpya wa Kamisheni ya Ulaya yaanza

  (GMT+08:00) 2019-06-13 09:34:53

  Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Donald Tusk amesema mazungumzo na viongozi wa Bunge la Ulaya kuhusu rais wa awamu mpya ya Kamisheni ya Ulaya yameanza.

  Hali ya kisiasa ya Ulaya inabadilika wakati wanasiasa wa mrengo wa kulia na wa kizalendo wakipata faida kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya licha ya kwamba vyama vinavyodhamiria kuimarisha muungano vinachukua zaidi ya theluthi mbili ya viti vya bunge hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako