• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonesha FDI yapungua kwa miaka mitatu mfululizo

  (GMT+08:00) 2019-06-13 09:35:45

  Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD imetangaza Ripoti ya uwekezaji wa dunia ya mwaka 2019, ukieleza kuwa uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja FDI kwa mwaka 2018 ulipungua hadi dola za kimarekani trilioni 1.3 ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo kwa kiashiria hicho kupungua.

  Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Marekani ni nchi kubwa zaidi inayovutia vitega uchumi kutoka nje vyenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 252 katika mwaka 2018, ikifuatiwa na China ikiwa na vitega uchumi kutoka nje vyenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 139.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako