• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kocha wa Uganda Cranes asema wamejiandaa vyema kumkabili Salah

    (GMT+08:00) 2019-06-14 09:09:05

    Kocha wa timu ya taifa ya Uganda (the Cranes) Sebastien Desabre amesema. Atatumia ujuzi wake wote alionao kuhakikisha wanamzuia nyota wa Misri anayecheza soka Uingereza Mohamed Salah.

    The Cranes ipo kundi A pamoja na wenyeji Misri katika mashindano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2019) yatakayofanyika nchini Misri kuanzia Juni 21 hadi Julai 9. Timu ya Uganda imepangwa kukutana na Misri katika mchezo utakaopigwa Juni 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako