• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Uzi mpya wa Stars watambulishwa, huku ikikubali kipigo kwa wenyeji Misri

    (GMT+08:00) 2019-06-14 09:10:21

    Wakati jezi mpya za timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) zimezinduliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, jezi hizo zitatumiwa na taifa stars katika mashindano ya kombe la mataifa AFCON yatakayoanza kutimua vumbi siku chache zijazo nchini Misri, jezi za rangi ya bluu zitatumika nyumbani na zenye rangi ya njano zitatumika ugenini.

    Wakati hayo yakiendelea, jana, taifa stars imecheza mchezo wake wa kwanza wa kujipima nguvu tayari kwa maandalizi ya mwisho ya michuano ya AFCON dhidi ya wenyeji Misri na kukubali kipigo cha goli 1-0. Goli la Misri lilifungwa dakika ya 64 na Mohamady.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako