• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msemaji wa Ikulu ya Marekani kuondoka kazini

    (GMT+08:00) 2019-06-14 09:17:35

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema, msemaji wa Ikulu Bibi Sarah Sanders ataondoka kazini.

    Rais Trump amesema Bi. Sanders ataondoka Ikulu na kurudi nyumbani kwake Jimbo la Arkansas. Akisema kuwa Sanders ni mtu maalumu na mwenye vipaji, na anatarajia kuwa atagombea ugavana wa jimbo la Arkansas.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako