• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kufanya ziara nchini Korea Kaskazini

    (GMT+08:00) 2019-06-17 19:46:39

    Msemaji wa idara ya mawasiliano na nje ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Hu Zhaoming, leo hapa Beijing ametangaza kuwa kutokana na mwaliko wa kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara rasmi nchini Korea Kaskazini kuanzia tarehe 20 hadi 21 Juni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako