• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RwandAir yazindua ndege kuelekea Guangzhou

    (GMT+08:00) 2019-06-17 20:12:28

    Hii leo RwandAir imezindua ndege yake kuelekea kitovu cha biashara cha China Guangzhou, na kuifanya kuwa kituo cha 28 cha ndege hiyo kuenda.

    Ndege RwandAir kuelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa ya Baiyun Guangzhou itafanya safari zake mara tatu kwa wiki na Airbus A330 kupitia Mumbai, kwa mujibu wa viongozi wa RwandAir.

    Kufikia leo mchana ndege hiyo ilikuwa tayari imejaza abiri.

    Guangzhou ni kitovu kikuu cha uagizaji wa aina mbalimbali bidhaa kuelekea Rwanda na njia mpya - ya kwanza kati ya mji wa China na Kigali ndege hii inatarajiwa kuongeza biashara na kurahisisha usafiri kati ya miji miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako