• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ina mpango wa kupunguza deni kwa kupunguza matumizi na kuongeza mapato

    (GMT+08:00) 2019-06-17 20:12:53
    Serikali ina mpango wa kupunguza deni kwa kupunguza matumizi na kuongeza mapato kulingana na watalamu wakiuchumi.

    Wakati wa kuwasilisha bajeti ya 2019/20, waziri fedha CS Henry Rotich amesema kuwa kupunguza upungufu wa fedha utakuwa ajenda muhimu katika mwaka wa fedha kuanzia Julai 1.

    Serikali ina mpango wa kuanzisha matumizi ya kadi ya smart card kwa ajili ya kusafiri kwa fanyikazi wa umma ikiwa ni kwa safari ya nje au ya ndani kwa wajibu rasmi.

    Serikali inazingatia sera mpya ya usafiri kusimamia idadi ya magari inayomilikiwa na viongozi na matumizi ya kadi za mafuta ili kupunguza gharama.

    Meneja wa nchi Abraham Muriu amesema kuwa kuanzishwa kwa kadi itaongeza gharama badala ya kupunguza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako