• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EA imehesabu hasara kupitia kufungwa mpaka wa Gatuna

    (GMT+08:00) 2019-06-17 20:13:35

    Kampala imepoteza thamani ya dola milioni 664 ya mauzo kuelekea Rwanda wakati Kigali imepoteza dola milioni katika kipindi cha miezi mitatu wakati mpaka wa Gatuna ulipofungwa, kulingana na Wizara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Uganda.

    Takwimu inajumisha hasara zilizofanywa na watoa huduma wengine kama usafiri, watoa huduma za afya na elimu.

    Ingawa Kenya hatumi mpaka mmoja na Rwanda, imeathiriwa kwa njia moja ama nyingine kwa kufungwa huko, kwa sababu mauzo ya nje ya Kenya yanayopita kupitia Uganda pia yalifungiwa.

    Madini kutoka Rwanda, chai na kahawa yanasafirishwa kwa bandari ya Mombasa kupitia Uganda.

    kufikia Sasa, asilimia 80 ya uagizaji ya Rwanda hupita Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako