• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yaahidi kudumisha amani ili kulinda haki za watoto

    (GMT+08:00) 2019-06-18 09:40:42

    Sudan Kusini imeahidi kudumisha amani na utulivu ili kumaliza mateso ya mamilioni ya watoto kutokana na mapambano ya miaka mitano.

    Waziri wa vijana, utamaduni na michezo Bibi Nadia Arop Dudi amesema, matatizo ya kiuchumi yaliyosababishwa na mapambano yameathiri vibaya maisha ya watoto hasa wa kike ambao wanaacha shule kutokana na ndoa za utotoni.

    Bibi Arop pia amesema, ingawa Sudan Kusini ina sheria za kimataifa na za kikanda zinazolinda haki za watoto, lakini sheria hizo hazitekelezwi inavyopaswa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako