• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito wa suluhu ya kisiasa ya msukosuko wa Yemen

    (GMT+08:00) 2019-06-18 09:53:37

    Mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa balozi Ma Zhaoxu ametoa wito wa kutafuta suluhu ya kisiasa katika kushughulikia msukosuko wa Yemen kwa njia ya mazungumzo ya ndani. Amesema China inaunga mkono pande mbalimbali nchini Yemen kurudi kwenye meza ya mazungumzo. Ameliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kuwa Makubaliano ya Stockholm yaliyofikiwa Disemba mwaka jana ni hatua muhimu ya kuelekea utatuzi wa kisiasa wa suala la Yemen, na yanatakiwa kutekelezwa kwa njia dhati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako