• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito wa kudumisha uhai na umuhimu wa mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu bahari

    (GMT+08:00) 2019-06-18 09:54:09

    Naibu mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa balozi Wu Haitao ametoa wito wa kudumisha "uhai na umuhimu" wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Sheria ya Bahari, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwake. Balozi Wu amesisitiza kudumisha amani na utulivu baharini na kufanya juhudi kutumia rasilimali za baharini kwa haki, ufanisi na kwa njia endelevu. Ameongeza kuwa maslahi na mahitaji ya nchi zinazoendelea yanatakiwa kutiliwa mkazo katika kuhimiza maendeleo na ustawi wa bahari na kuhimiza utambuzi wa malengo ya maendeleo endelevu katika shughuli zinazohusu bahari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako