• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM ataka juhudi za kupambana na majangwa na ukame

    (GMT+08:00) 2019-06-18 09:54:36

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka juhudi za kupambana na jangwa na ukame. Kwenye ujumbe wake katika Siku ya Dunia ya Kupambana na Majangwa na Ukame, inayoadhimishwa kila Juni, 17, Guterres amesisitiza umuhimu wa kutambua mapambano dhidi ya majangwa kuwa ni jambo la haraka katika juhudi za dunia za kutimiza malengo ya maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako