• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • kampuni ya  Dutch imewekeza $ milioni 70 katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya kunasa miale ya jua Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-06-19 20:00:48
    Makazi angalau 900,000, au watu milioni 4.2, wataunganishwa na umeme katika miaka mitano ijayo kama kiwanda cha kutengeneza vifaa vya kunasa miale ya jua kilichopendekezwa kitaanza shughuli zake.

    Kampuni ya miale ya jua ya Uholanzi, NOTS, imetangaza itawekeza dola milioni 70 (karibu franc dola bilioni 61) katika uzalishaji wa bidhaa za taa za jua nchini Rwanda, na kuongeza matarajio ya nchi ya kufikia ya 2024.

    Maendeleo haya yanakuja baada ya Serikali, mapema mwezi huu, kusema kuwa ime tia saini mkataba na kampuni ya kutengeneza na kusambaza mifumo ya nyumbani ya miale ya jua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako