• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda imeanzisha kiwanda cha kwanza cha kusafisha dhahabu

    (GMT+08:00) 2019-06-19 20:01:11

    Rwanda imeanzisha kiwanda cha kwanza cha kusafisha dhahabu. Kiwanda hicho kinauwezo wa kutengeneza dhahabu kutoka kote bara la afrika, na inaimarisha jitihada za kuhakikisha kwamba Afrika inaongeza thamani kwa madini yake kabla ya kuziuza nje.

    Kiwanda chenye gharama ya dola milioni 5 kiko katika eneo maalaum la kiuchumi Kigali katika wilaya ya Gasabo.

    Kiwanda hicho kimekuwa kikifanya kazi tangu mwezi Machi.

    Rwanda inalenga kukusanya dola bilioni 1.5 kutoka kwa mauzo ya nje ya madini ifikapo mwaka 2024.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako