• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mauzo ya nje ya bidhaa za Uganda yapungua

    (GMT+08:00) 2019-06-20 18:37:23
    Mauzo ya nje ya bidhaa za Uganda yamepungua kwa karibu asilimia 50 katika kipidi kilichokamilika Aprili.

    Taakwimu za benki kuu ya Uganda zinaonyesha kuwa mauzo yalipungua kutoka dola milioni 604 hadi dola milioni 307.

    Mauzo ya kahawa yalipungua kwa asilimia 13 kutoka magunia 348,230 hadi 306,315.

    Bidhaa nyingine ambazo mauzo yake yamepungua ni pamoja na chai, samaki na dhahabu.

    Uganda huuza kwa wingi bidhaa zake katika masoko ya Sudan Kusini, DRC na Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako