• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yapunguza mpango wa kuzalisha megawati 10,000 za kawi

    (GMT+08:00) 2019-06-20 18:38:04
    Wizara ya kawi ya Kenya imesema itapunguza kwa megawati 2,800 mpango wake wa kuzalisha kawi.

    Waziri wa kawi Charles Keter amesema wizara hiyo imechukua hatua hiyo kwa kuendana na matarajio ya mahitaji.

    Awali wizara ya kawi ilikuwa imetangaza kwamba Kenya ingehitaji megawati 10,000 zaidi ili kutosheleza mahitaji yake kuelekea mufikiwa kwa malengo ya kiuchumi ya mwaka 2030.

    Alisema sasa mpango mpya ni kuzalisha megawati 7, 200 kupitiakwa mikakati kadhaa inayowekwa.

    Tangu mwaka 2-13 serikali iliweka malengo ya kuzalisha megawati 6700 ndani ya miak mitano na kati ya hizo megawati 1,600 ni kutoka kwa mvuke, 1,920 kutoka kwa mkaa na 420 kutokana na maji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako