• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Marekani afanya ziara ya ghafla nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2019-06-26 10:09:19

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amefanya ziara ya ghafla mjini Kabul, Afghanistan na kujadiliana na viongozi wa nchi hiyo kuhusu mazungumzo ya amani ya Afghanistan. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na televisheni ya Afghanitan, Pompeo alikutana na rais Ashraf Ghani na ofisa mkuu mtendaji wa serikali Abdullah Abdullah, na wamekubaliana kuwa amani ni kipaumbele cha kwanza kwa sasa, na Afghanistan haipaswi kuwa kituo cha kulea ugaidi wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako