• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika kwenye tovuti ya internet yaanza

    (GMT+08:00) 2019-06-26 19:13:58

    Maonesho ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika kwenye mtandao wa internet ambayo ni sehemu muhimu ya maonesho ya kwanza ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yameanza rasmi leo.

    Habari zinasema maonesho hayo kwenye yanawahudumia wafanyabiashara wa utoaji, wafanyabiashara wa ununuzi, wawekezaji wa Afrika na China, na pia yanawahudumia wateja moja kwa moja, yatawasaidia wateja wa Afrika kununua bidhaa bora zenye bei nafuu na aina mbalimbali za China, na pia yatasaidia bidhaa bora za Afrika kuingia katika soko la China, na kuhimiza ushirikiano wa uwekezaji na kutafuta mitaji kati ya makampuni ya China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako