• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapongeza hatua ya kuzuia kuuzwa kwa mali ya kampuni ya sukari ya Mumias

    (GMT+08:00) 2019-06-27 18:49:37

    Baadhi ya wamiliki wa hisa za kampuni ya sukari ya Mumias wamepongeza hatua ya serikali ya kaunti ya Kakamega kuzuia kuuzwa kwa mali ya kampuni hiyo.Wawekezahi hao wamesema kuna haja ya kampuni hiyo kuwekwa chini ya usimamizi mzuri ili kuikwamua kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifilisika kila siku.Kampuni hiyo inadaiwa kuwa na madeni mengi hususan kutoka kwa wakulima na wasambazaji vifaa. Mwenyekiti wa wenye hisa za kampuni hiyo Muthuri Nyamu amesema jopo lililoteuliwa na gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuangalia jinsi ya kukwamua kampuni hiyo ni hatua nzuri ambayo inalenga kuleta matumaini kwa watu wanaodai kampuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako