• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: PSG yasema haitamuuza Neymar msimu huu wa joto

  (GMT+08:00) 2019-07-01 08:45:21
  Klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa imesema haina mpango wa kumuuza mshambuliaji wao mwenye vitimbi Neymar Jr licha ya Barcelona ya Uhispania kumuwania.

  Mmiliki wa PSG ambaye pia ni rais wa klabu hiyo Nasser Al-Khalaifi amebainisha kuwa, hawako tayari kumuachia mchezaji huyo waliyemnunua kwa kitita cha Euro milioni 222 misimu miwili iliyopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako