Takwimu hiyo inathibitisha uchumi ambao ulipata ukuaji mwaka 2018, ilikuwa umeanza kudidimia katika kipindi hicho, ikilinganishwa na utendaji ulioandikishwa wa asilimia 6.5 katika robo sawa ya 2018.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya inasema kushuka kwa kasi kwa katika Pato la Taifa(GDP) kunasababishwa na kushuka kwa shughuli za kilimo baada ya kuchelewa kwa mvua.
Sekta ya kilimo, misitu na uvuvi ilikua kwa asilimia 5.3 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.5 ya robo sawa mwaka 2018.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |