• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakenya wanaoishi nje ya nchi walituma nyumbani Sh bilioni 118 katika kipindi cha miezi mitano

    (GMT+08:00) 2019-07-01 20:13:08
    Wakenya wanaoishi nje ya nchi walituma nyumbani dolla milioni 243.19 mwezi Mei, ambayo imeshuka kwa asilimia 4.15 kutoka dolla milioni 253.73 kipindi hicho mwaka jana.

    Hii ilikuwa pia kushuka kwa chini kutoka diolla milioni 245.36 iliyotumwa nyumbani mwezi Aprili.

    Malipo iliyoingia iliongezeka kwa 29.77 hadi dolla bilioni 1.16 katika miezi mitano hadi Mei ikilinganishwa na dola milioni 890.11 iliyotumwa kipindi hicho mwaka jana.

    Hii inaonyesha Wakenya wanaoishi nje ya nchi wanaendelea kutumia faida ya msamaha wa kodi juu ya kipato cha kigeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako