• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: mashine ya kusindika karanga kusaidia wasindikaji wadogo kuboresha ubora wa njugu

    (GMT+08:00) 2019-07-01 20:13:54

    Kituo cha Mafunzo ya Ufundi cha SONGEA imetengeneza mashine ya usindikaji wa njungu ili kusaidia wasindikaji wadogo kuboresha ubora wa njugu.

    Mashine ina uwezo wa kusindika takriban kilo 60 za karanga kwa siku.

    Mmoja wa wanafunzi wa Veta-Songea, amesema kuwa walifurahi sana kuona kwamba uvumbuzi wao ulikuwa unawasaidia wafadhili moja kwa moja

    Mnamo Desemba mwaka jana, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), ilizindua mpango wa kujenga uwezo wa wasindikaji wa karanga, ili kuwawezesha kuongeza uzalishaji na kuongeza thamani ya mazao.

    Tanzania ilipata dola milioni 578.4 kutokana na mauzo ya karanga katika mwaka wa mwisho wa Januari 2018, ikilinganishwa na mapato mengine makubwa ya tumbaku - pamba, chai, kahawa, makonge Zaidi ya asilimia 90 ya mauzo ya nje inaelekea nchini India.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako