• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda ina miwa mingi lakini Serikali Imedinda kuuzia Kenya

    (GMT+08:00) 2019-07-01 20:35:05

    Uganda imekataa ombi la kuuza nje miwa kutoka kwa wakulima wa mkoa wa Busoga kuelekea Kenya.

    Wakulima wanasema wana zaidi ya tani 500,000 za sukari ambayo wasindikaji hawawezi fyonza lakini Waziri wa Biashara, Viwanda na Ushirika Amelia Kyambadde amesema ongezeko hilo ni la muda tu na halifau kusababisha uonga wowote.

    Bi Kyambadde aliiambia bunge kwamba viwanda vya sukari nchini Uganda vimekuwa vikizalisha sukari kidogo tangu mwaka 2010 kutokana na upungufu wa miwa na kwamba kufungua soko kwa nchi jirani kama vile Kenya itazidisha tatizo hilo.

    Viwanda vya sukari Uganda vinasemekana kusaga tani milioni 430 za miwa, maana inafanya kazi kwa karibu asilimia 70.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako