• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: Baada ya kizungumkuti na IAAF, Semenya ashinda taji

  (GMT+08:00) 2019-07-02 08:23:50

  Baada ya misukosuko la shirikisho la riadha duniani (IAAF) mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya ameshinda mbio za mita 800 za Daimond league zilizofanyika nchini Marekani.

  Semenya alipata ushindani mkubwa toka kwa mwanariadha wa Marekani, Ajee Wilson na Muitheopia Habitam Alemu, Semenya ameshinda taji hilo baada ya kumaliza wa kwanza kwa kutumia saa 1:55:70 akifuatiwa na Mmarekani Ajee Wilson aliyetumia saa 1:58:36 huku Raevyn Rogers nae toka Marekani akitumia saa 1:58:65.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako