• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la dunia la wanawake- michezo ya nusu fainali kupigwa Julai 3 na 4.

    (GMT+08:00) 2019-07-02 08:25:24
    Michezo miwili ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia kwa wanawake inayoendelea nchini Ufaransa, itachezwa kesho Jumatano na Alhamisi.

    Uingereza itakutana na Marekani hapo kesho, na siku ya Alhamisi, Uholanzi watamenyana na Sweden.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako