• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KRIKETI: Kombe la dunia mchezo wa Kriketi- Uingereza yajiweka nafasi nzuri, yaipiga India

    (GMT+08:00) 2019-07-02 08:25:43
    Timu ya kriketi ya Uingereza imejiwekea matumaini ya kufanya vizuri na hata kutwaa ubingwa wa dunia mchezo wa kriketi baada ya kuichabanga timu ya taifa ya kriketi ya India katika mchezo uliopigwa Jumapili wikiendi iliyomalizika katika uwanja wa Edgbaston jijini Birmingham katikati ya Uingereza.

    Uingereza imerejea kileleni ikiwa imebakiza mchezo mmoja dhidi ya New Zealand.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako