• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Klabu ya soka ya AC Milan yapigwa stop kushiriki michuano ya Europa League

    (GMT+08:00) 2019-07-02 08:26:01
    Klabu ya soka ya AC Milan imepigwa adhabu ya mwaka mmoja ya kutoshiriki michuano ya Europa League msimu ujao. AC Milan iliyomaliza nafasi ya 5 kwenye ligi ya soka Italia, Serie A imekumbana na kifungo hicho kutoka kwa mahakama ya usuluhishi ya michezo baada ya kuvunja sheria ya 'Financial Fair Play'.

    Kwa kifungo hicho, nafasi ya AC Milan itachukuliwa moja kwa moja na AS Roma, Huku Torino iliyomaliza katika nafasi ya 7 kwenye Ligi ya Serie A msimu uliopita itaingia kwenye mechi za kufuzu ili kutinga hatua ya makundi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako