• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Uchumi wa Rwanda kukua kwa asilimia 7.8 mwka 2019

    (GMT+08:00) 2019-07-02 19:55:14
    Benki ya dunia imetabiri ukuaji wa kuridhisha wa uchumi wa Rwanda licha ya kutarajiwa upungufu kote duniani.

    Benki hiyo imesema ukuaji unatarajiwa kukua kwa asilimia 7.8 mwaka 2019 lakini pia ni upungufu ikilinganishwa na ukuaji wa mwaka jana.

    Mwakilishi wa benki ya dunia nchini Rwanda Yasser El-Gammal, amesema mfumko wa bei nchini humo umesalia chini huku kukiwa na ongezeko la uwekezaji.

    Hata hivyo benki hiyo imetoa wito wa kuongeza uwezo w sekta ya kibinafsi ili kudumisha ukuaji wa muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako