• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Shirika la ndege la Ethiopia kujenga hoteli

    (GMT+08:00) 2019-07-02 19:55:31
    Shirika la ndege la Ethiopia limeanza mradi wa ujenzi wa hoteli ya nyota tano kwa gharama ya dola milioni 150 katika mji mkuu Addis Ababa.

    Shirika hilo lilifungua hiteli ya kwanza mwezi Februari iliojengwa kwa gharama ya dola milioni 65.

    Meneja wa mipango na maendeleo ya miundo mbinu wa shirika hilo Abraham Tesfaye, amesema hoteli hiyompya inajengwa karibu na ile ya kwanza.

    Itakuwa na vyumba 637 vya wageni, migahawa, vyumba vya mikutno na maegesho ya mgari 500.

    Kampuni ya AVIC kutoka China ndio itakayojenga hoteli hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako