Uganda imefuzu hatua hiyo baada ya takribani miaka 41 huku ikiziacha Tanzania na Burundi ikiaga mashindano hayo. Timu zilizofuzu hatua ya 16 bora kundi A: Misri, Uganda na DR Congo, kundi B ni Madagascar, Nigeria na Guinea, katika kundi C kuna Algeria na Senegal, nalo kundi D timu zilizofuzu ni Morocco, Ivory Coast na Afrika Kusini, kundi E zilizofuzu ni Mali na Tunisia na kundi la mwisho ni F, zilizofuzu ni Ghana, Cameroon na Benin.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |