Mkurungezi mkuu wa NDC profesa Damian Gabagambi amesema kiwanda hicho kilijengwa kwa ushirikiano wa Tanzania na Cuba.
Amesema kwa sasa kinazalisha lita 570,000 kwa mwaka kutokana na mahitaji ya matumizi ya nyumbani lakini uwezo wake ni kuzalisha hadi lita milioni 6 kwa mwaka.
Nchi zilizoomba kuuziwa dawa hiyo ni pamoja na, Angola Niger na eSwatini.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |