• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Baada ya kushindwa kufurukuta AFCON, Migne aahidi kuisuka upya Harambee Stars huku wadau wakitaka atimuliwe

    (GMT+08:00) 2019-07-04 08:22:50
    Mara baada ya kichapo cha goli 3-0 kutoka kwa Simba wa Teranga Senegal, kocha wa Harambee Stars Sebastien Migne ametangaza mipango ya kuisuka upya timu hiyo ya taifa ya Kenya kwa ajili ya mashindano ya siku za usoni.

    Kulingana na Migne, kikosi hicho kitaundwa na wachezaji wengi wa umri mdogo, huku akifafanua kwamba mastaa wengi wakongwe wataondolewa.

    Nao baadhi ya mashabiki katika eneo la pwani nchini humo, wamemtaka kocha huyo ajiuzulu ama atimuliwe kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo katika michuano ya AFCON.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako