• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la dunia la wanawake, Uholanzi sasa kuvaana na Marekani, yaipiga Uswidi

    (GMT+08:00) 2019-07-04 08:24:41

    Mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya kombe la dunia kwa wanawake umechezwa jana jijini Paris Ufaransa inakoendelea michuano hiyo kwa Uholanzi kupata goli 1-0 dhidi ya Uswidi.

    Mchezo wa fainali utazikutanisha Marekani ambayo iliifunga Uingereza 2-0 jana, na Uholanzi, mechi inayotabiriwa kuwa ya vuta nikuvute kwakuwa kila timu inataka kudhihirisha ubora wake na kunyakuwa ubingwa wa dunia wa soka la wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako