• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi wa Houthi wa Yemen wakiri kufanya mashambulizi kadhaa dhidi ya maeneo ya kijeshi katika mkoa unaodhibitiwa na serikali

    (GMT+08:00) 2019-07-05 09:11:43

    Waasi wa Houthi wa Yemen wametangaza kuhusika na mashambulizi kadhaa dhidi ya maeneo ya kijeshi katika mkoa wa Marib unaodhibitiwa na serikali uliopo kaskazini mashariki mwa Yemen kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora. Ndege hizo zililenga mfumo wa kujilinda na makombora uliomilikiwa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unaounga mkono vikosi vya serikali ya Yemen dhidi ya waasi wa Houthi, huku makombora yakilenga mkusanyiko wa askari katika eneo la katikati ya Marib na kuwaua watu kadhaa wakiwemo viongozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako