• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: La Liga kumtambulisha mwamuzi wa kike msimu ujao

    (GMT+08:00) 2019-07-05 09:53:51
    Ligi ya Uhispania inayojulikana kama La Liga, msimu ujao itakuwa kwa mara ya kwanza na mwamuzi wa kike, limetangaza shirikisho la soka la Uhispania.

    Guadalupe Porras Ayuso mwenye miaka 32 kwa sasa ni mwamuzi msaidizi, atakuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya ligi hiyo kuchezesha mechi za ligi kuu. Porras amekuwa mwamuzi katika ligi ya daraja la pili ya wanaume Segunda kwa misimu miwili na kabla ya hapo alikuwa ligi ya daraja la tatu ya Uhispania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako