• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nusu fainali ya shindano la kupiga ala za kichina lililoandaliwa na CMG itafanyika

    (GMT+08:00) 2019-07-07 16:49:30

    Washindani karibu 1,400 wameingia katika nusu fainali ya shindano la ala za kichina lililoandaliwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China CGM, ambayo itafanyika kuanzia tarehe 9 hadi 18 mwezi huu.

    Washindani karibu elfu 6 kutoka miji na mikoa 20 ya China, Hong Kong, Macao, Taiwan na nchi za nje kama Mongolia, Malaysia, Japan, Singapore na Marekani wameshiriki kwenye mashindano hayo. Lengo la mashindano hayo ni kutangaza utamaduni na kusambaza elimu kuhusu muziki wa kichina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako