• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jordan yasema haitakubali makubaliano yanayopuuza haki ya Wapalestina ya kuanzisha nchi yao

    (GMT+08:00) 2019-07-08 08:31:02

    Waziri mkuu wa Jordan Bw. Omar Razzaz amesema nchi hiyo haitakubali makubaliano yoyote yanayopuuza haki ya kisheria ya Wapalestina ya kuanzisha nchi yao. Shirika la habari la serikali Petra limeripoti kuwa, katika mazungumzo na mwenzake wa Palestina Bw. Mohammed Ishtaye, Bw. Razzaz amesisitiza uungaji mkono wa Jordan kwa Palestina katika kukabiliana na uchokozi wa Israeli. Pia ameongeza kuwa ufumbuzi wowote wa kiuchumi ikiwa mbadala wa utatuzi wa kisiasa pia hautakubaliwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako