• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Malta na Italia zatoa wito kwa Umoja wa Ulaya kuanzisha utaratibu wa kudumu kuhusu uhamiaji

    (GMT+08:00) 2019-07-08 08:31:30

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Malta na Italia wametoa taarifa ya pamoja wakitoa wito wa kujenga utaratibu wa kudumu wa Umoja wa Ulaya kuhusu uhamiaji. Mawaziri hao wawili wamethibitisha nia yao ya kushirikiana kuhusu uhamiaji, wakiongeza kuwa wanataka mambo halisi yaongezwe kwenye ajenda ya awamu ijayo ya Baraza la mambo ya nje la Umoja wa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako