• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda Watu 600 wapata kazi Mbale Industrial Park ambayo imefunguliwa kwa biashara

    (GMT+08:00) 2019-07-08 20:17:28
    China imejenga sehemu ya viwanda katika ekari 619, eneo hilo limefunguliwa rasmi kwa biashara.

    Bwana Shawn Lee, meneja mkuu wa Mbale Mbale industrial park amesema viwanda sita katika sehemu hiyo zitaanza shughuli mwaka huu.

    Na kufikia sasa watu 600 wameajiriwa.

    Eneo hilo la biashara lilitengenezwa na Tian Tang Group, pale Rais Museveni alisema ujenzi, ni kama sehemu ya ajenda ya viwanda.

    Inatarajiwa kujenga fursa kwa makampuni ya Kichina kuwekeza nchini Uganda na kujenga kazi zaidi ya 15,000 kwa jamii.

    Bwana Lee amesema eneo hilo linauwezo wa viwanda 60 na jitihada zinachukuliwa ili kuvutia wawekezaji zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako