• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: China itafadhili sehemu ya mradi wa reli ya kati ya Tanzania SGR

    (GMT+08:00) 2019-07-08 20:17:47
    China imerudi kama mmoja wa wafadhili wakuu wa mradi wa SGR, Waziri wa Mambo ya Nje Palamagamba Kabudi alithibitisha wiki iliyopita.

    Urefu wa reli ya kati SGR, ni kilomita 1,457 kutoka Dar es Salaam hadi kaskazini mwa Tanzania, hii ni moja ya miradi ya miundombinu mikubwa inayotokana na serikali ya Rais John Magufuli.

    Bajeti ya reli ni dola bilioni 7.5, na ratiba ya kukamilisha ni miaka mitano

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako