• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania bei ya makonge ya kenya imeshuka chini kutokana na bei ya chini ya Tanzania

    (GMT+08:00) 2019-07-08 20:26:41

    Bei ya makonge ya kenya tangu mwezi Aprili baada ya bidhaa za bei nafuu kutolewa na Tanzania katika soko la dunia.

    Takwimu na Usimamizi wa Mazao ya makonge imeonyesha mapato yamepungua kutoka Sh177 kwa kilo Aprili hadi Sh156 kwa kiasi sawa mwezi uliopita.

    Kwa kulinganisha na kipindi hicho mwaka jana, thamani imeshuka kutoka Sh163 mwezi wa Juni 2016 hadi Sh157 katika kipindi cha ukaguzi.

    Bi Kamau amesema Tanzania imesababisha wauzaji wa Kenya kupunguza bei zao ili kubaki katika soko la dunia.

    Kulingana na bodi , kilo ya makonge kwenye soko la kimataifa katika miezi sita ya kwanza ya mwaka 2018 ilipungua hadi Sh166, ikilinganishwa na Sh161 katika nusu ya 2019.

    Zaidi ya asilimia 80 ya nyuzi za makonge zinafirishwa kwa maeneo zaidi ya 30 duniani kote, pamoja na China, Saudi Arabia, Nigeria na Morocco inayoongoza .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako