• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Marekani na Ufaransa wazungumza kwa simu kuhusu suala la Iran

    (GMT+08:00) 2019-07-09 09:16:51

    Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani imesema, rais Donald Trump wa nchi hiyo amezungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Ufaransa Bw. Emmanuel Macron kuhusu suala la Iran.

    Marais hao wawili wamejadili kuhusu jitihada zinazoendelea katika kuhakikisha kuwa Iran haitakuwa na silaha ya nyuklia, na vitendo vya Iran vya kuhujumu utulivu katika Mashariki ya Kati.

    Hii ni mara ya pili kwa viongozi hao wawili kufanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu suala la Iran katika wiki iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako