• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wairan 17,161 wauawa na makundi ya kigaidi katika miaka 40 iliyopita

    (GMT+08:00) 2019-07-10 09:32:26

    Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Bw. Majid Takht Ravanchi amesema, raia 17,161 wa Iran wameuawa na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi za kigeni katika miaka 40 iliyopita. Akizungumza kwenye mjadala wa Baraza la Usalama kuhusu uhusiano kati ya ugaidi wa kimataifa na uhalifu uliopangwa, amesema Iran ni mwathirika wa mashambulizi yanayofanywa na vikundi vya kigaidi na uhalifu wa kimataifa. Wakati huo huo, amesema nchi hiyo iko mstari wa mbele katika kupambana na hatari hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako