• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kujadili kuhusu kukomesha mapambano huko Idlib

    (GMT+08:00) 2019-07-10 09:33:41

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia suala la Syria Geir Pedersen ambaye yupo ziarani nchini humo, amesema anajiandaa kujadiliana na viongozi wa Serikali ya nchi hiyo kuhusu kumaliza mapambano mkoani Idlib.

    Bw. Pederson amesema anatarajia kufanya mazungumzo ya kiujenzi na viongozi wa serikali ya Syria kuhusu masuala mbalimbali ambayo yataanza Jumatano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako