• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa majadiliano ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani wazungumza kwenye simu

    (GMT+08:00) 2019-07-10 19:53:45

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China, na kiongozi wa upande wa China anayeshughulikia mazungumzo ya uchumi ya pande zote kati ya China na Marekani Bw. Liu He, jana alifanya mazungumzo na mjumbe wa kibiashara wa Marekani Bw. Robert Lighthizer kwa njia ya simu, na kubadilishana naye maoni kuhusu makubaliano yaliyofikiwa na marais wa nchi hizo mbili huko Osaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako