• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Interpol yakamata maelfu ya wanamyapori walio hatarini kutoweka

    (GMT+08:00) 2019-07-11 09:09:28

    Shirika la Polisi la Kimataifa Interpol limesema, katika operesheni ya kimataifa ya kupambana na usafirishaji haramu wa wanyamapori, maelfu ya bidhaa zisizo halali zilikamatwa na watuhumiwa 600 wanashikiliwa katika nchi 109. Kutokana na uratibu wa pamoja wa Polisi wa Ufaransa na  Shirika la Forodha Duniani WCO, operesheni hiyo ya wiki nne iitwayo "Thunderball" ambayo ilifanyika kuanzia tarehe 4 hadi 30 Juni, inahusisha polisi, forodha, idara ya ulinzi wa mipaka, maofisa wa mazingira, wanyamapori na misitu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako