• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa Syria na mjumbe wa UM wajadili kuhusu kuunda kamati ya katiba

    (GMT+08:00) 2019-07-11 09:09:53

    Shirika la habari la Syria SANA limeripoti kuwa, waziri wa mambo ya nje wa Syria Bw. Walid al-Moallem amejadiliana na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Syria Bw. Geir Pedersen kuhusu uundaji wa kamati ya katiba.

    Pande hizo mbili zimesisitiza uratibu wa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika kuhimiza mazungumzo ya Syria ili kusaidia kurejesha utulivu na usalama nchini humo na kulinda ukamilifu wake wa ardhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako