• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la itikadi na mawazo ya kidiplomasia ya Xi Jinping lafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2019-07-11 20:50:06

    Kongamano la itikadi na mawazo ya kidiplomasia ya rais Xi Jinping wa China limefanyika leo hapa Beijing.

    Kwenye kongamano hilo, mkuu wa idara ya mawasiliano na nje ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Song Tao, amesisitiza kuwa mawazo ya kidiplomasia ya Xi yamedhihirisha kuwa, China inapaswa kulinganisha maslahi yake na maslahi ya nchi nyingine duniani, na kuanzisha uhusiano wa kuheshimiana ulio wa haki, usawa, ushirikiano na mafanikio ya pamoja, ili kuhimiza kuunda uhusiano mpya wa kimataifa na kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako